Nyumba ni kubwa, ina vyumba 5 vya kulala,kati ya hivyo kuna master 2, pia kuna kitchen, public toilet/ bathroom, kitchen, dinning room na sitting room kubwa. Ina baraza 2 mbele na nyuma. Vyumba vyote vina makabati ambayo yote ni mbao ya mninga, pamoja na jiloni. Roof ya nyumba ni designed mbao. Pia kuna extra selfcontained rooms 2 (chumba choo, bafu na jiko) nje ya nyumba kubwa, Ila ndani ya kiwanja kimoja.
Maji ya dawasco yapo, umeme upo, ni 2mins walk hadi junction ya bima(Main road).
ukubwa wa eneo ni Square meters 810.
Compare listings
Compare